Kenwood speaker zinahitajika...

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
1,415
Reaction score
879
Wajameni habari za jioni! Kama kichwa cha habari Kinavyoeleza, nahitaji speaker tajwa hapo juu na hasa zenye ukubwa kuanzia watt 6000 no kwa ajili ya kukodisha.

Kama kuna mtu anazo anauza pm, na hata mwenye ushauri zipi ziko poa zaidi anakaribishwa. Nipo $umbWanga kikazi Ila zikiwa Dar usisite tunaongea. Ahsanteni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…