Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,307
- 40,941
Kamusoko majeruhi ndiyo yaliyomtoa first team,na muda mwingi alikuwa na pancha,sasa juko yuko fiti humchezeshi unaweka yule beki wa kimataifa Paul BukabaHata Kamusoko yuko National team... Ila Yanga hawamtaki tena
Kumbe kamusoko timu ya taifa hawajui ni majeruhi mbona wanamchezesha..Kamusoko majeruhi ndiyo yaliyomtoa first team,na muda mwingi alikuwa na pancha,sasa juko yuko fiti humchezeshi unaweka yule beki wa kimataifa Paul Bukaba
Hawa wametuacha mbali sana.. labda uwanjani kidogo tutajitutumuaHuwezi kuelewa mkuu,hawa Simba wanapambana na kina as vita,tp Mazembe huko....Hata huyo Kennedy alikuwa anatakiwa na As vita "in.Hajji's voice"
Kumbuka Podolski na Klose wa Joachim LoewHuwa kinanishangaza huyu Jurko huwa anaitwa Mara kwa Mara The Crane's lkn huku hapati namba ,kocha wa The Crane's sijui anatumia kigezo gani
Pendekezo la HajiDah huu usajiri ni pendekezo la kocha kweli ? OK inawezekana lkn
Never, Simba bado MO anaogopa kuondolewa.Tutapambana na Zamelek, Tp mazembe kwenye soko la usajili leo yamekuwa haya tena.
Umbumbumbu wako ndiyo unakuponza maana huelewi, Kamusoko last season muda mwingi amekuwa pancha,alianza kucheza tena akitokea sub mechi za mwisho mwisho wakati anarecover,sasa ukimfananisha na mchoma mahindi Juko utakuwa unavuta ugoro, maana Kamusoko bila majeruhi ni kina chama wawili maana yeye ni box to box midfielder.Kumbe kamusoko timu ya taifa hawajui ni majeruhi mbona wanamchezesha..
halafu juuko baada nyoni kwenda injury mbona amecheza sana.. bora useme mlipili lakn juuko angalau alicheza mkuu.. halafu sio lazima wacheze wote wakati wanaopata nafasi wanafanya vzr
Chama yupi?.. huyu wa visigino?Umbumbumbu wako ndiyo unakuponza maana huelewi, Kamusoko last season muda mwingi amekuwa pancha,alianza kucheza tena akitokea sub mechi za mwisho mwisho wakati anarecover,sasa ukimfananisha na mchoma mahindi Juko utakuwa unavuta ugoro, maana Kamusoko bila majeruhi ni kina chama wawili maana yeye ni box to box midfielder.
Kuitwa national team inategemea na recovery yake na Dr wa timu yao,kutohitajika Yanga ni umri na majeraha yasiyo isha nikama tambwe tu.
Period.
Tangu amefunga goli na Nkana mechi gani nyingine ameperform ya kimataifa? Kama nikwenye ligi ya Bongo sawaChama yupi?.. huyu wa visigino?
Mwehu kweli wewe.. Amepona sasa mumpe mkataba.
As Vita hukumuona eti?... israel mtoa roho yuleTangu amefunga goli na Nkana mechi gani nyingine ameperform ya kimataifa? Kama nikwenye ligi ya Bongo sawa
Mechi zote kasoro ya ndugu zake alikuwa flopAs Vita hukumuona eti?... israel mtoa roho yule
Ulitaka afunge kila game au vp?.. Mbambane uliona mikato sumu aliyowapiga 4-0 kule EswatinMechi zote kasoro ya ndugu zake alikuwa flop