Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,874
- 3,576
haha daz EFX walikua vizuri but now mziki upo tofauti Sana..ume change..sisi watu wa generation ya makundi maarufu kama EPMD na daz EFX wakitamba na pini lao lisilo chuja la real hip hop acha tu tupite kimya kimya.
thread kama hizi wahenga huwa tunapenda kuwa wasomaji.
Ungesema ulikua unamsikiliza Mc Hammer ningekubali lakini hip hop ya kuanzia NWA (gangster rap) mpaka hii ya leo nyingi zinafanana.sisi watu wa generation ya makundi maarufu kama EPMD na daz EFX wakitamba na pini lao lisilo chuja la real hip hop acha tu tupite kimya kimya.
thread kama hizi wahenga huwa tunapenda kuwa wasomaji.
Watumia auto tunes, T Pain, Lil Wayne, Future kwa kipindi kile ndiyo walisababisha Nas aseme hip hop is dead. Traditional hip hop ilikua inaenda omega sasa hivi wameibuka kina Desiigner, Migos, Travis, Lil Uzi wanazidi kuwakera wakongwe.haha daz EFX walikua vizuri but now mziki upo tofauti Sana..ume change..
Umemsahau Tupac
kwa WA miaka hiyo ya 90s list yangu Ni
1: The Notorious Big..
2:Nas
3:Andre 3000
4:Scarface
5re
True bro wanaitwa WAVE wana Rap with Melody..but ukiwasema vijana unakosea alienza kuua game Ni P Diddy na Bad Boy yake..alipoanza kusign wanaoRAp kibishoo wakina Mase...kama unakbuka Diddy alivompa BIG beat ya Juicy..Big alikataaa alimwambia hawezi kurap kwenye beat ya pop..atajidhalilishaWatumia auto tunes, T Pain, Lil Wayne, Future kwa kipindi kile ndiyo walisababisha Nas aseme hip hop is dead. Traditional hip hop ilikua inaenda omega sasa hivi wameibuka kina Desiigner, Migos, Travis, Lil Uzi wanazidi kuwakera wakongwe.
Pambafu kabsa sasa Huyo dem Drake hapo anafanya nn, we shabikia taarabu huku hujui kituWell,kama kama heading inavyojieleza..nadhani SI mimi peke yangu anaedhani kua Kendrick Lamar ha deserve hype anayopata,..jamaa WA kawaida Sana..TENA SANA..for the first time namskiza jamaa nilikua high school mwaka 2011..kwenye ngoma ya Look Out For Detox.. Shit was real..alichana Sana..flow on point,lyrics..beat..wala hakua anapiga kelele kama sasa..now nashangaa watu wanamsifia Sana but kiukweli sijawahi kukoshwa na K Dot...hayupo hata kwenye list ya rappers wangu watano..My Top FIVE IS
1: J Cole
2rake
3:Big Sean
4:A$ap rocky
5: Pusha T
matusi ya nini boss,,Kati ya drake na Kendrick aliesuka twende kilioni nani Ana haiba za kidemu???Pambafu kabsa sasa Huyo dem Drake hapo anafanya nn, we shabikia taarabu huku hujui kitu
Dmx alisema Drake is a female rapper full stop.M
matusi ya nini boss,,Kati ya drake na Kendrick aliesuka twende kilioni nani Ana haiba za kidemu???
kwenye The Language Drake anasemaDmx alisema Drake is a female rapper full stop.
I'm done
Kendrick WA kwenye the MAAD CITY..nlimwelewa Sana..but huyu WA sasa hapana..Kumbe mapenzi yako binafsi, bas sawa