Kendrick Lamar alivyokuwa anaomba watu wamfollow kabla ya kuwa Star Ulimwenguni

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Ukizungumzia wasanii wakali wa Hip Hop ulimwenguni hauwezi kuacha kutaja jina la Rapper Kendrick Lamar.

Kendrick Lamar ameshachukua tuzo kubwa za Grammy na ameshafanya ngoma ambazo zinaendelea kuishi na hazichoshi kuzisikiliza.

Kama ulikuwa hujui bhana, Rapper Kendrick Lamar kabla ya kuwa Star mkubwa duniani alikuwa anaomba watu wamfollow kwenye ukurasa wake wa Twitter "X".

Angalia hapa jinsi alivyokuwa anaomba watu wamfollow ili kuongeza namba ya watu wanaomfuatilia kwenye mtandao wa kijamii,

Screenshot_20240214-192631.jpg


20240214_192806.jpg


Kwasasa Rapper Kendrick Lamar ana followers Mamilioni kwa Mamilioni kwenye kurasa zake mbalimbali za mitandao ya kijamii.

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Back
Top Bottom