Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,149
- 892
HakikaCCM TUNA WATU. WATULIE
Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe. Haya hongereni ila Kihongosi kwenye mahojiano na Odemba kaonesha wazi kuwa kichwani ni mweupe pee..CCM TUNA WATU. WATULIE
Jizi na lipenda rushwa nalo linatoa comments bila aibu
Hongera Kenani kwa kujipakulia minyama.
Ingekuwa Heche angeshatoa mapovu, makasiriko, mauzushi, uwongo, vitisho, uchochezi. Watu wa CCM hawana njaa, hawana stress wala depression. Afya zao za akili ni imara
Jizi na lipenda rushwa nalo linachangia bila aibuGreat thinkers wapo CCM
Jizi na lipenda rushwa nalo linachangia bila aibuIngekuwa Heche angeshatoa mapovu, makasiriko, mauzushi, uwongo, vitisho, uchochezi. Watu wa CCM hawana njaa, hawana stress wala depression. Afya zao za akili ni imara
mkuu huo ndio mwisho wako wa kufikiri?Jizi na lipenda rushwa nalo linachangia bila aibu