Kwa Mashabiki, Wapenzi na Wakeleketwa wote wa Simba SC. Kwanza tujipongeze kwa Sapoti tuliyoipa timu yetu Mpaka kufikia hatua ya ROBO FAINALI, ni matumaini yangu kwamba SIMBA itaunguruma mbele ya TP MAZEMBE pia.
Binafsi nimefedheheshwa sana na Kampeni ya kumrudisha Ajibu ndani ya Simba SC. AJIBU hana nafasi tena ndani ya Mioyo yetu, kwa kifupi alitutenda sana na sasa hatumtaki Kikosini kwetu. Ajibu ni VIRUS kabisa na hivyo hana chembe hata ya kufikiriwa kurudi Msimbazi.
Alitudharau sana kiasi cha Kufika mazoezini na Sare za Churra, Hana Morali ya kuisaidia timu inapoelemewa, sio mvumilivu wakati wa Ukata lkn kikubwa hana Mapenzi na Timu ya Simba.
Tunajua Msemaji wetu Hajj Manara unamhusudu sana Swaibba wako Ajibu lkn by the time, Wanasimba wote tuungane kusema AJIBU NOT FOR SIMBA SC
Mwacheni huko huko Madimbwini aendeleee kula Ugali na Bamia akili imkae sawa.