kabunguru
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 425
- 502
Kufuatia Hali ya Joto Kali,inasadikika Nyoka wanasaka sehemu zenye ubaridi kwenye Makazi ya wanadamu, hasa makazi yenye miti na majani au maua.Hali hii imezua taharuki na mara kadhaa wamekuwa wakiranda randa,hasa usiku.Naombeni anayejua Kemikali inayoweza kumwagwa ili wakimbie (Snake Repellant ),waende zao.Kama muuzaji yupo aniPM.