Huna shida mkuu. Andika kichwa cha habari kamili kulingana na jambo unalotaka kulifikisha huku kwa wasomaji. Jitambulishe vyema na kwa adabu maana bibi zako tuko humu pia. Jieleze kwa maneno machache na ya msingi. Kisha unaweza kuaga bila kusahau kuweka namba yamo ya simu na kwa urahisi zaidi wasiliana na uongozi wa Jf ili waweza kukuelezea namna bora ya kuwasilisha wazo/ ombi lako kwa wana jf wote.
Kila la kheri mjukuu