BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,337
- Thread starter
- #21
Halafu kuna baadhi ya Dems walimtega huyu ili alaani kauli ya 45th ili kuonyesha independence yake bila kuonyesha woga kwa 45th, lakini akaamua kufuta kulaani kauli hiyo kama alivyotakiwa. Hivyo baadhi ya Dems wanataka kutumia hiyo shortcoming kutompitisha huyu.
Nadhani anahitaji kura 60, ila 45th kishawaambia wabadili taratibu ili 51 tu ziwe sufficient kumpitisha. Na GOPs wasivyo na aibu na ubabe wao nadhani wanaweza kubadili kanuni from 60 votes to 51 ili wampitishe.

Mpaka mteule wake mwenyewe hakubaliani nae, halafu kuna watu bado Wanadai Judge nae afutwe kazi. Sijui atafuta wangapi.