Hiki kizazi chetu kiko BLESSED na INTERNET. Na kwa mtu yeyote aliesoma hata form four na ana uwezo wa kuelewa lugha zote mbili, Kiswahili na English ana Advantage ya kupata kipato. Sio tu ONLINE hata kwenye maisha yetu ya kila siku mtaani.
Kuna vijana wanasaidia makampuni kuuza bidhaa mtaani wanapata hela. Ila kwa ulimwengu wa sasa unaweza wewe kuwa hiyo kampuni hata kama huna hela. Unaweza anza biashara yako mwenyewe
Well kwa wanaonijua toka 2019 nimekua nikihubiri vijana watumie vizuri Technologies na Social Media kujipatia kipato.
Inawezekana? - NDIO...
Attachments
FireShot Capture 325 - Wanachuo, Vijana Msio na Kazi unaweza pata 5000-20,00+ kwa siku kut_ - ...png