Pdraze JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 615 Reaction score 324 Mar 7, 2015 #2 Afrika kuna mambo!!
mwalimumzalendo1 JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 1,098 Reaction score 407 Mar 7, 2015 #3 Kheeee kwani lazima keki?
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Mar 7, 2015 #4 Aiseee kweli hapana chezea keki
Tee Bag JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 7,220 Reaction score 5,627 Mar 7, 2015 #5 Honey Faith said: Aiseee kweli hapana chezea keki Click to expand... Waonekana kwenye vitu vitamu tu
mnyepe JF-Expert Member Joined Dec 1, 2008 Posts 1,907 Reaction score 661 Mar 7, 2015 #6 Kikubwa ni jinsi wanavyoonekana wanafuraha..
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,301 Mar 7, 2015 #7 mnyepe said: Kikubwa ni jinsi wanavyoonekana wanafuraha.. Click to expand... kikubwa ni wao kufurahi sio kufurahusha watu..!!
mnyepe said: Kikubwa ni jinsi wanavyoonekana wanafuraha.. Click to expand... kikubwa ni wao kufurahi sio kufurahusha watu..!!
C.Thady JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 589 Reaction score 155 Mar 7, 2015 #8 Keki huwaga ni mbwembwe tu basi katika harusi
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,752 Reaction score 5,317 Mar 7, 2015 #10 Mdinyano ndio kila kitu hivi vingine mbwe mbwe tu.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Mar 7, 2015 #11 Tee Bag said: Waonekana kwenye vitu vitamu tu Click to expand... Kama wewe hapo.Hakuna asiyependa vitamu jamani.....
Tee Bag said: Waonekana kwenye vitu vitamu tu Click to expand... Kama wewe hapo.Hakuna asiyependa vitamu jamani.....