princebujonde
Senior Member
- Jan 7, 2013
- 198
- 55
Sasa kwani hapo shida ni nini? Si mtu anajilia vyake? Kwani wewe mara ngapi umefanya kama huyo huko kwenye mabaa? Au kwa vile aliyefanya ni mzungu basi ndo inakuwa big deal? acheni hizo...JAMANI. jioneeni wenyewe haki ya nani tena!!!!
nimeumia sana najuta hata kufungua hii sread
nimeumia sana najuta hata kufungua hii sread
hao watoto hapo aisee dahyupi aliekuumiza?,mleta thread au mzungu kwny picha?