KDF ineshindwa kabisa kupambana na Alshababs Somalia

MY TAKE: Hivi ni kitu gani kinawashinda KDF kwenda katika Hilo eneo wanaloshikilia hawa Alshabab na kuwafukuza kweli wanawaacha wanaishi na kujijenga kwa uhuru mkubwa kiasi hiki?.
Tony254
dyfre
Don YF
IamLee
Nicxie

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Wewe huelewi jinsi Amisom inavyofanya kazi. Huwa mna uwezo mdogo wa kufikiria. Amisom imepatia kila nchi sector yake ya kulinda. Sasa kuna sector ambazo bado zipo huru na huko ndiko Shabab wanatawala kwa sababu hakuna wa kuwapiga. Sasa ikiwa Tanzania mngewacha uwoga wenu na mjiunge na Amisom basi mngepewa hizo sector ambazo zimebaki hususan central Somalia mupambane nao. Lakini Jubbaland ambayo ndio sector ya Kenya ipo very secure na ndio maana mara ya Mwisho Shabab waliattack Nairobi ni January 2019. Shabab hawawezi kuoperate Jubbaland bila kuangamizwa na ndio maana terror attack Kenya hususan miji mikubwa haipo tena.
 
Punguzs ujinga wako, kwani Kenya ni Nairobi pekee?, Alshababs wanashambulia Kenya karibu kila wiki wakitokea Boni forest, tena hiyo Boni forest ndio ipo karibu na Jubaland.

Kwani Kenya mlipoingia Somalia lengo lenu lilikua ni lipi Kama sio kuwasambaratisha Alshabab ndani ya Somalia ili wasisumbue tena Kenya?, Sasa Hilo lengo limefanikiwa?.

Ili muweze kuzuia mashambulizi, lazima Alshabab watokomezwe wote toka Somalia, huu ujinga wenu wa kusema huko waliko hamuwezi kuwafuata, unatokana na kushindwa kuwafuata huko kwao, KDF wanaogopa kichapo,kumbuka Hilo eneo wanalolikalia, lipo jirani Sana na Kenya.

KDF ni dhahifu Sana, haiwezikani adui anayewashambulia mara kwa mara unajua anapoishi, eti unasema huwezi kumfuata mpaka utakapopangiwa na AU, kwani mlipoamua kwenda Somalia mlipangiwa na AU au mlikwenda baada ya Alshabab kuisumbua Kenya?

Wewe ndio una ujinga mkubwa sana. Mashambulizi Boni forest mara ya mwisho kufanyika ni February mwaka huu. Miezi mitatu imepita bila mashambulizi kufanyika huko. Punguza upumbavu wako wa kusema kwamba mashambulizi yanafanyika Kenya kila wiki. Sasa leta evidence ya mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika Kenya last week. Ukikosa mashambulizi ya last week nakuruhusu ulete ya two weeks ago tuone kama utapata.
 
Punguzs ujinga wako, kwani Kenya ni Nairobi pekee?, Alshababs wanashambulia Kenya karibu kila wiki wakitokea Boni forest, tena hiyo Boni forest ndio ipo karibu na Jubaland.

Kwani Kenya mlipoingia Somalia lengo lenu lilikua ni lipi Kama sio kuwasambaratisha Alshabab ndani ya Somalia ili wasisumbue tena Kenya?, Sasa Hilo lengo limefanikiwa?.

Ili muweze kuzuia mashambulizi, lazima Alshabab watokomezwe wote toka Somalia, huu ujinga wenu wa kusema huko waliko hamuwezi kuwafuata, unatokana na kushindwa kuwafuata huko kwao, KDF wanaogopa kichapo,kumbuka Hilo eneo wanalolikalia, lipo jirani Sana na Kenya.

KDF ni dhahifu Sana, haiwezikani adui anayewashambulia mara kwa mara unajua anapoishi, eti unasema huwezi kumfuata mpaka utakapopangiwa na AU, kwani mlipoamua kwenda Somalia mlipangiwa na AU au mlikwenda baada ya Alshabab kuisumbua Kenya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Halafu wewe ni mjinga sana kama unadhani Kenya inaweza kuivamia Somalia bila ruhusa ya UN. Mwaka wa 2011 tulipoivamia Somalia bila ruhusa ya UN, Kenya ilishutumiwa vikali na jamii ya kimataifa kwa kuivamia nchi nyingine bila ruhusa. Shutuma hizo ndio ziliifanya Kenya kujiunga na Amisom ambayo imepewa ruhusa na UN kuilinda Somalia. Wewe unadhani ni rahisi tu nchi moja kuivamia nchi nyingine bila ruhusa ya UN? Wewe huwa mjinga sana.
 
Mbona Israel anatoa shoo za kibabe Syria na Lebanon, na nyie muwatarget kwa njia ya anga, sema najua mnaogopa wasije kuwapiga tukio.
 
Tanzania wakombozi wa africa mbona msiingie ground mkomboe somalia mara moja, chickens [emoji23]
 
Halafu wewe ni mjinga sana kama unadhani Kenya inaweza kuivamia Somalia bila ruhusa ya UN. Mwaka wa 2011 tulipoivamia Somalia bila ruhusa ya UN, Kenya ilishutumiwa vikali na jamii ya kimataifa kwa kuivamia nchi nyingine bila ruhusa. Shutuma hizo ndio ziliifanya Kenya kujiunga na Amisom ambayo imepewa ruhusa na UN kuilinda Somalia. Wewe unadhani ni rahisi tu nchi moja kuivamia nchi nyingine bila ruhusa ya UN? Wewe huwa mjinga sana.
Wacha uongo, onyesha lini, nani walioishutumu Kenya ilipoingia Somalia, huo ni uongo kutaka kujitetea kwa kushindwa kuwafuata Alshabab kwa kuogopa kichapo.

Sababu kubwa ya Kenya kujiunga na Amisom ni ili kuratibu hiyo vita vizuri, Kama Kenya watapigana kivyake bila kuwa na mawasiliano na majeshi ya nchi zingine zilizopo Somalia Kuna uwezekano mkubwa wa kugongana kwa hayo majeshi yenyewe kwa yenyewe, au Alshababs kutumia hiyo nafasi ya kukosekana kwa "Coordination" na kuweza kujipenyeza, hakuna nchi Wala taasiso yoyote ilitoishitumu Kenya kwa kuingia Somalia, kwanza hakukuwa na Serikali nje ya Mogadishu, nchi yote ilikua chini ya Alshababs, Sasa Kenya italaumiwaje kwa kuwavamia Alshababs?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania wakombozi wa africa mbona msiingie ground mkomboe somalia mara moja, chickens [emoji23]
It is our time of building our economy which was stagnant for almost 30yrs of African liberation era. Ninyi ambao hamkujishughulisha na ukombozi, huu ni muda wenu na ninyi kusaidia Africa, sio lazima Tanzania iwepo kila sehemu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
It is our time of building our economy which was stagnant for almost 30yrs of African liberation era. Ninyi ambao hamkujishughulisha na ukombozi, huu ni muda wenu na ninyi kusaidia Africa, sio lazima Tanzania iwepo kila sehemu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Half truths, half lies and propaganda is your speciality your economy was never stagnant infact at one time TZ had a larger GDP than kenya our economy took off at around 2005 two yrs after kibaki came to power.
 
Israel inakuwa protected na Marekani
🤣🤣🤣
Hata hapo kwenyu si mko na kambi kabisa ya Royal Marine .... Na kila uchwao wana gonga wadada wa kikenya ... Na nyie mtatetewa na UK kama israel anatetewa na US ......😂😂🤣🤣 Aki jiyo ni kali
 
It is our time of building our economy which was stagnant for almost 30yrs of African liberation era. Ninyi ambao hamkujishughulisha na ukombozi, huu ni muda wenu na ninyi kusaidia Africa, sio lazima Tanzania iwepo kila sehemu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji215] [emoji215] [emoji23]
 
🤣🤣🤣
Hata hapo kwenyu si mko na kambi kabisa ya Royal Marine .... Na kila uchwao wana gonga wadada wa kikenya ... Na nyie mtatetewa na UK kama israel anatetewa na US ......😂😂🤣🤣 Aki jiyo ni kali
Juzi niliona mahali ex CJ Mutunga akijitamba Kenya kuwa anchor state the US haiwezi kuiacha i-disintegrate to chaos! Nikaona the guy is so stupid after all the schooling he went!

If Egypt that is a buffer to Israel's existence within the middle east couldn't be saved from revolution who the hell is Kunyaland? Believe me even a Saudi Arabian official can not speak like that ex CJ full of ujinga n the whole World knows how Saudi Arabia makes the US shit in her pants every time the oil flow is tampered .
 
Half truths, half lies and propaganda is your speciality your economy was never stagnant infact at one time TZ had a larger GDP than kenya our economy took off at around 2005 two yrs after kibaki came to power.
When and why our economy was bigger than Kenya while since our independence we were busy assisting other African countries to fight for their freedom, remember due to our involvement, we were isolated by majority of western countries which are the markets for majority of our agricultural produces, therefore it was impossible for Tanzania to export majority of our goods. It is not true that once Tanzanian economy was bigger than Kenya, give evidence

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Juzi niliona mahali ex CJ Mutunga akijitamba Kenya kuwa anchor state the US haiwezi kuiacha i-disintegrate to chaos! Nikaona the guy is so stupid after all the schooling he went!

If Egypt that is a buffer to Israel's existence within the middle east couldn't be saved from revolution who the hell is Kunyaland? Believe me even a Saudi Arabian official can not speak like that ex CJ full of ujinga n the whole World knows how Saudi Arabia makes the US shit in her pants every time the oil flow is tampered .
Wajaribu kupigana waone kama Us ata wasaidia
 
Back
Top Bottom