Ndiyo mi sina chama.... Ni mdau tu wa hii serikali.... Na huo ndio ukweli Kigoma ni aibu tupu... Na mbunge ndo kama unavyomuona.... Anawaza bata tu.
Hee! Hata tukigundua dish limemcheza tusimpeleke Mirembe?Kigoma haiwezi kuwa na mnyama takataka Kama sampuli yako... Hufai hata kuwa sehemu ya Milembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unahisi ni wake mtumie kwa namba yake usiweke kwenye uzi usiohusiana.Kuna haja gani ilhali mhusika yupo hapa... Ujumbe ni wake na sio wako
Ndiyo mi sina chama.... Ni mdau tu wa hii serikali.... Na huo ndio ukweli Kigoma ni aibu tupu... Na mbunge ndo kama unavyomuona.... Anawaza bata tu.
Mondi..Magufuli amepanga nani atangazwe mshindi huko?
Ulimzushia Raisi wetu kifo, internet haisahau, hakuna mtu aliwahi kwenda mbali kiasi hicho, wewe ni evil being, hata mtu akikuangalia usoni anaona evil ndani yako, what goes around comes around, internet haisahau kumbuka hilo kama hata una uwezo wa kukumbuka chochote.
Mondi..
Namdai anayelipwa pesa nyingi kwa ajili yangu.....Kwan nisipofanya vizuri darasani anafuatwa mwalimu au serikali... Mwalimu ndo analipwa ili mm nifanye vizuri.Kuna hela yako umempa Zito ya maendeleo? Kawadai maendeleo wanaokusanya hela yako.
Zito ni Serikali? Engineer Chiza, Prof Ndalichako na Nsanzugwanko wako serikalini watawakumbuka.We zitto unatusahau wanakigoma unakuja kupiga umbea mitandaoni... Unafikir lile ni koloni lako,tutaona 2020...labda urudi kwenu Burundi ukaloge..
Kwa hiyo hata km huna akili mwalimu akugaie zake ili ufaulu? Kama hamna vifaa vya kufundishia mwalimu atoe mshahara wake kukununulia?Namdai anayelipwa pesa nyingi kwa ajili yangu.....Kwan nisipofanya vizuri darasani anafuatwa mwalimu au serikali... Mwalimu ndo analipwa ili mm nifanye vizuri.
Namdai anayelipwa pesa nyingi kwa ajili yangu.....Kwan nisipofanya vizuri darasani anafuatwa mwalimu au serikali... Mwalimu ndo analipwa ili mm nifanye vizuri.
Kodi yangu ina gawio kwake.... Cha msingi afanye wajibu wake.... Hayo mengine ni meaningless..Sema ni shilingi ngapi umempa mpaka sasa hivi urudishiwe kiroho safi.
Kodi yangu ina gawio kwake.... Cha msingi afanye wajibu wake.... Hayo mengine ni meaningless..
Kwahiyo akiroga ndio atapata Ubunge? Unamini nguvu za kichawi na kishirikina ukiwa na umri huo? Ndio maana CCM inawaroga kupitia ule moto mnaoukimbiza kila mwaka na kwasababu mnaamini ulozi mmerogeka kweliWe zitto unatusahau wanakigoma unakuja kupiga umbea mitandaoni... Unafikir lile ni koloni lako,tutaona 2020...labda urudi kwenu Burundi ukaloge..