A ALICETH New Member Joined Apr 15, 2010 Posts 1 Reaction score 0 Apr 15, 2010 #1 am happy to get a website which is friendly my friends am looking for a job 1which will manage me am a logistic and supply chain lady
am happy to get a website which is friendly my friends am looking for a job 1which will manage me am a logistic and supply chain lady
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,413 Apr 15, 2010 #2 woh wewe tuko pamoja ... kwenye supply chain ..ngoja watu wakija hapa ndani watakusaidi mamy Ila na wewe hata hujabisha hata hodi kule post ya kwanza una-looking for job ..karibu sana
woh wewe tuko pamoja ... kwenye supply chain ..ngoja watu wakija hapa ndani watakusaidi mamy Ila na wewe hata hujabisha hata hodi kule post ya kwanza una-looking for job ..karibu sana
MLATIE Senior Member Joined Apr 14, 2010 Posts 179 Reaction score 17 Apr 15, 2010 #3 Hodi hodi jamani naomba mnikaribishe kwenye jumiya yenu
Akthoo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 1,064 Reaction score 1,142 Apr 15, 2010 #4 Karibu tena!
N nakose Member Joined Apr 15, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Apr 15, 2010 #5 Barrick Bulyanhulu wanaajiri watu wa supply kama 10 hivi...kwenye wiki ijayo watatoa matangazo unaweza kuomba
Barrick Bulyanhulu wanaajiri watu wa supply kama 10 hivi...kwenye wiki ijayo watatoa matangazo unaweza kuomba
Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 7,469 Reaction score 7,261 Apr 15, 2010 #6 ALICETH said: am happy to get a website which is friendly my friends am looking for a job 1which will manage me am a logistic and supply chain lady Click to expand... Umenifurahisha sana,........kiinglish chako bab kubwa!
ALICETH said: am happy to get a website which is friendly my friends am looking for a job 1which will manage me am a logistic and supply chain lady Click to expand... Umenifurahisha sana,........kiinglish chako bab kubwa!
Buswelu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 1,998 Reaction score 356 Apr 15, 2010 #7 Africa Barrick Gold Wametanga Nafasi Hizo Kumi Dar Office.Leo Jioni HII.See attachment Attachments Ads - Accountants.pdf Ads - Accountants.pdf 165.6 KB · Views: 133
kabila01 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2009 Posts 4,236 Reaction score 4,989 May 7, 2010 #8 Hivi mbona Barrick wanatoa sana nafasi za kazi ni kwamba wanauhitaji sana au watu wengi wanaacha?
Kobe JF-Expert Member Joined Jun 17, 2009 Posts 1,793 Reaction score 814 May 7, 2010 #9 FirstLady1 said: woh wewe tuko pamoja ... kwenye supply chain ..ngoja watu wakija hapa ndani watakusaidi mamy Ila na wewe hata hujabisha hata hodi kule post ya kwanza una-looking for job ..karibu sana Click to expand... Muonee huruma FL1 siyo yeye maisha yanapagawisha ndg yangu.! ushawahi kuona mtu mwenye njaa akikaribishwa chakula.! anaweza sahau kunawa mpaka kuomba kwa mungu kabla hajaanza kula hicho chakula.
FirstLady1 said: woh wewe tuko pamoja ... kwenye supply chain ..ngoja watu wakija hapa ndani watakusaidi mamy Ila na wewe hata hujabisha hata hodi kule post ya kwanza una-looking for job ..karibu sana Click to expand... Muonee huruma FL1 siyo yeye maisha yanapagawisha ndg yangu.! ushawahi kuona mtu mwenye njaa akikaribishwa chakula.! anaweza sahau kunawa mpaka kuomba kwa mungu kabla hajaanza kula hicho chakula.