tafuta komputer mbili fungua secretarial office, weka mpsea, tigopesa, photocopy halafu tuone kama maisha hayataenda
Mkuu kuwa serious kidogo.Weka picha
Au nimeomba kazi ya umodel
Kama angekuwa mwanaume mngemwambia hvyo kweli?hv tunataka mtu anafanyaje kazi au mwonekano wa mtu ndo unaofanya kazi.au kama hvo sisi wabaya tusingepata job.