Kazi

Maysally

Member
Dec 6, 2013
54
21
Habari wana JF!
Mimi ni msichana natafuta kazi ya ya Hotel Receptionist au Office Secretary..Kwasasa sina kazi lakini nahamini kupitia hapa nitapata kwa watu wote wawezeshaji naomba mnisaidie nina Certificate ya Hotel na Record management.Nina uzoefu nimefanya hotel baadhi pamoja na bureau De change npo tayari kwa kazi yeyote niko tayari kujifunza.
Natanguliza shukrani zangu.
 
tafuta komputer mbili fungua secretarial office, weka mpsea, tigopesa, photocopy halafu tuone kama maisha hayataenda
 
tafuta komputer mbili fungua secretarial office, weka mpsea, tigopesa, photocopy halafu tuone kama maisha hayataenda

Mkuu kwani kaomba ushauri wa Biashara? Unajuaje kama ana mtaji huo? Unafanyia VICCOBA nn?
 
Ukimchagua Lowassa 2015 kasema atatua tatizo la ajira kwa vijana!
 
]Ukimchagua Lowassa 2015 kasema atatua tatizo la ajira kwa vijana!

C wote watakaofanikiwa
 
Kama angekuwa mwanaume mngemwambia hvyo kweli?hv tunataka mtu anafanyaje kazi au mwonekano wa mtu ndo unaofanya kazi.au kama hvo sisi wabaya tusingepata job.
 
Kama angekuwa mwanaume mngemwambia hvyo kweli?hv tunataka mtu anafanyaje kazi au mwonekano wa mtu ndo unaofanya kazi.au kama hvo sisi wabaya tusingepata job.

Wee hutaki kazi wewe, unaomba then unaleta nyodo, na certificate yako, utafia street watu wana degree wako bench
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom