Kamsemo kazuri, staili ya yule jamaa wa ze komedi.Usichague kazi eti kisa una degree,thermometer ina degrees kibao lakini inafanya kazi kwenye kwapa...!!!!
Kamsemo kazuri, staili ya yule jamaa wa ze komedi.
Yule mweusi anayetumia lafudhi ya kihaya. Sijui jina lake la usanii!SURE, mi nilidhan joti au nsanja vile
Yule mweusi anayetumia lafudhi ya kihaya. Sijui jina lake la usanii!