kazi za sido vp?

kazi za sido vp?

marioz

Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
7
Reaction score
5
wadau nauliza vp hao sido wameshaajiri? manake tulifanya interview ya credit officers mwezi wa pili hadi sasa naona utumishi wapo kimya. mwenye jibu please
 
Majibu ya oral yalitoka mwez wa 3 mwanzon na mwez wa nne watu wakaanza kaz
 
Back
Top Bottom