Kazi za SADC

benja

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
331
Reaction score
230
Wakuu habari,
Mnamo mwezi wa Saba, Mwaka 2019, Jumuiya yetu pendwa ya SADC ambayo nchi yetu ni mwanachama ilitangaza ajira katika fani mbalimbali. Naomba kuuliza kinachoendelea huko maana application tulipeleka pale Wizara ya Mambo ya Nje.

Asante
 
Nasikitika huwa hawatoi feedback yoyote. Mimi nilisha apply mara nyingi
 
Mwezi wa 10 au wa 11 Walitoa feedback. Check website ya wizara ya utumishi. Kuna list ya watu 99 Kati ya 900 waliochaguliwa kwenda hatua ya Mbele.
 
Duuh.. Tunaomba hiyo link ya hayo majina. Mbona utumishi sijaona mkuu. Saidia please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…