Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,158
- 1,688
Baada ya karani muongozaji kuhakiki jina mpiga kura,sehemu inayofuata hapo ni ya msamizi msaidizi kumpatia fomu kwa ajili ya kwenda kupiga kura,Msimamizi msaidizi ni nani
syo sahihi ndugu hawa wasaidizi kazi yao ni kusoma jina la mpiga kura endapo ataliona kwenye daftar na kumuelekeza kwa mkuu wa kituo ili akapatiwe karatasi za kura ,pia kuwasimamia mtu anayetoka kupga kura kupaka wino ule wa blue kwenye kidole ,majukumu mengine utayapata kwa mkuu wa kituoBaada ya karani muongozaji kuhakiki jina mpiga kura,sehemu inayofuata hapo ni ya msamizi msaidizi kumpatia fomu kwa ajili ya kwenda kupiga kura,
Wewe unaongelea wa kituo, mimi nimeuliza huyo wa kwenye kata aliyetajwa kuwa apelekewe maombi, na lengo langu si kujua kazi yake, nataka kujua hilo jukumu ni la nani katika wale watumishi wa kwenye kata? Nadhani nimeelewekaBaada ya karani muongozaji kuhakiki jina mpiga kura,sehemu inayofuata hapo ni ya msamizi msaidizi kumpatia fomu kwa ajili ya kwenda kupiga kura,
nafasi ya msimamizi msaidizi wanakua wawili ndani ya kituo. Mmoja kazi yake kuwa na orodha ya wapiga kura (daftari la kudumu la mpiga kura) na kuita jina la mpiga kura kwa sauti baada ya kulinganisha taarifa za kadi ya mpiga kura na kitabu.Wewe unaongelea wa kituo, mimi nimeuliza huyo wa kwenye kata aliyetajwa kuwa apelekewe maombi, na lengo langu si kujua kazi yake, nataka kujua hilo jukumu ni la nani katika wale watumishi wa kwenye kata? Nadhani nimeeleweka