A
Anonymous
Guest
Sisi ni Watumishi Wapya Halmashauri ya Manispaa ya Temeke hatujapewa Fedha ya Kujikimu ambayo ni haki ya kila muajiriwa mpya, kila tukifuatilia tunazungushwa, ni zaidi ya mwaka sasa hatujapewa, maombi yetu yawafikie wakubwa maana huku Serikali za Mitaa kuna urasimu sana.