monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 877
- 1,564
Habari wakuu,
Natafuta kazi katika hoteli katika vitengo vifuatavyo;
Receptionist
Porter
Housekeeping
Kwa mtu yeyote anayefahamu panapo funguliwa hoteli mpya anijulishe PM
Maana nimeshazunguka sana hapa jijini Dar bila mafanikio.
Ahsanteni