Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,877
Ndio hivyo hapo bado ushirikina umekaa barabaraniNdo iliyokupa bando la kupost humu ama una kazi nyingine bwashee?? Binafsi ninaona ni mungu ndiye anatulinda humo njiani lakini risk ni kubwa sana huwa nikipanda gari naanza kuwaza what if madereva wote wangekua wehu tungekufa kama kuku aloo😀
Bodaboda wa mama mnakufa kama sisimizi na mnatumika kama kondomu, hivi yule kiongozi wenu naye ni dereva? Maana angekuwa alishakufa,hamna tofauti na walioko GazaHapa nazungumzia bodaboda na Bajaj
Ni wazi kuwa ajali anapanga Mungu, ila ukiwa na KAZI tajwa hapo juu basi uwezekano wa kupata ulemavu wa kudumu ni 65%
Na uwezekano wa kupata kifo muda wowote ni 50%
Ni aina ya KAZI ambayo inakushape kupata hela ya kula kesho, kulipa Kodi na kuvaa.
Sio KAZI ambayo mtu anaweza kufanya na kutengeneza maisha.
Binafsi nipo kwenye kazi hiyo tajwa hapo juu ila sina mapenzi na KAZI hii kwasababu za hatari zake.
Tangu nimeanza KAZI hii nimeshuhudia ajali 7 za bodaboda wote wamekufa na kukatika viungo vya mwili.
Bajaj ajali nimeshuhudia 5 madereva wamekufa.
Mimi pia nimewai kupata ajali ila Mungu alininusuru.
Binafsi Nina miezi 3 tu iliobaki kwenye KAZI hii kichaa yenye laana na umasikini, ntaiacha nitafute harakati nyingine.
Unaweza kuzingatia alama zote za barabarani na speed nzuri tu ila mtu akaja kalewa akakuvunja kiuno.
Unaweza kubutuliwa ukafa na faini ni 75k tena hata wiki aiishi umesahaulika.
Nina miezi Mitatu kufanya KAZI barabarani kama sitokufa na kupata ajali sitorudi tena barabarani.
Barabarani ni hatari madereva wapo kwenye risk 90% kwasababu wanashinda barabarani tofauti na wewe unaenda kazini na kurudi.
Matusi ruksa
Kama mkurugenzi wa Tanesco kafa aheshimu barabara zina mengiNdo iliyokupa bando la kupost humu ama una kazi nyingine bwashee?? Binafsi ninaona ni mungu ndiye anatulinda humo njiani lakini risk ni kubwa sana huwa nikipanda gari naanza kuwaza what if madereva wote wangekua wehu tungekufa kama kuku aloo😀
Tujitahidi kufata sheria za huko barabaraniHapa nazungumzia bodaboda na Bajaj
Ni wazi kuwa ajali anapanga Mungu, ila ukiwa na KAZI tajwa hapo juu basi uwezekano wa kupata ulemavu wa kudumu ni 65%
Na uwezekano wa kupata kifo muda wowote ni 50%
Ni aina ya KAZI ambayo inakushape kupata hela ya kula kesho, kulipa Kodi na kuvaa.
Sio KAZI ambayo mtu anaweza kufanya na kutengeneza maisha.
Binafsi nipo kwenye kazi hiyo tajwa hapo juu ila sina mapenzi na KAZI hii kwasababu za hatari zake.
Tangu nimeanza KAZI hii nimeshuhudia ajali 7 za bodaboda wote wamekufa na kukatika viungo vya mwili.
Bajaj ajali nimeshuhudia 5 madereva wamekufa.
Mimi pia nimewai kupata ajali ila Mungu alininusuru.
Binafsi Nina miezi 3 tu iliobaki kwenye KAZI hii kichaa yenye laana na umasikini, ntaiacha nitafute harakati nyingine.
Unaweza kuzingatia alama zote za barabarani na speed nzuri tu ila mtu akaja kalewa akakuvunja kiuno.
Unaweza kubutuliwa ukafa na faini ni 75k tena hata wiki aiishi umesahaulika.
Nina miezi Mitatu kufanya KAZI barabarani kama sitokufa na kupata ajali sitorudi tena barabarani.
Barabarani ni hatari madereva wapo kwenye risk 90% kwasababu wanashinda barabarani tofauti na wewe unaenda kazini na kurudi.
Matusi ruksa
Ajali HAZIPANGWI na Mungu, umekosea sana. Ajali zinatokea kwa sababu ya binadamu kutokuwa makini na kukiuka kanuni na sheria.Hapa nazungumzia bodaboda na Bajaj
Ni wazi kuwa ajali anapanga Mungu, ila ukiwa na KAZI tajwa hapo juu basi uwezekano wa kupata ulemavu wa kudumu ni 65%
Na uwezekano wa kupata kifo muda wowote ni 50%
Ni aina ya KAZI ambayo inakushape kupata hela ya kula kesho, kulipa Kodi na kuvaa.
Sio KAZI ambayo mtu anaweza kufanya na kutengeneza maisha.
Binafsi nipo kwenye kazi hiyo tajwa hapo juu ila sina mapenzi na KAZI hii kwasababu za hatari zake.
Tangu nimeanza KAZI hii nimeshuhudia ajali 7 za bodaboda wote wamekufa na kukatika viungo vya mwili.
Bajaj ajali nimeshuhudia 5 madereva wamekufa.
Mimi pia nimewai kupata ajali ila Mungu alininusuru.
Binafsi Nina miezi 3 tu iliobaki kwenye KAZI hii kichaa yenye laana na umasikini, ntaiacha nitafute harakati nyingine.
Unaweza kuzingatia alama zote za barabarani na speed nzuri tu ila mtu akaja kalewa akakuvunja kiuno.
Unaweza kubutuliwa ukafa na faini ni 75k tena hata wiki aiishi umesahaulika.
Nina miezi Mitatu kufanya KAZI barabarani kama sitokufa na kupata ajali sitorudi tena barabarani.
Barabarani ni hatari madereva wapo kwenye risk 90% kwasababu wanashinda barabarani tofauti na wewe unaenda kazini na kurudi.
Matusi ruksa
SanaaaaUnaona hii miezi mitatu uliyopanda ikiisha ubadilishe kazi ni michache?