mysara2011
Member
- Sep 28, 2017
- 69
- 84
Hivi jamani wapendwa kuna mtu aloitwa interview zile post za Sales and reservation za ATCL., Maana naona kimya kingi mnooo au ndo nishabwagwa?
Yan acha tu ndugu yangu yani mtu hujui lolote now ni almost mwezi mzimaBora wangelikuwa wanaonyesha kwamba usipopata taarifa baada ya muda fulani ujue hukufanikiwa.
Shida sio kuwa success what I need to know ni kama kuna watu washaitwa .Ingawa nilipategemea sana cause nilikuwa na qualification zote walizohitaji.Only successful candidates will be contacted for interview
Ulikua na qualification zote sio mkuu?Shida sio kuwa success what I need to know ni kama kuna watu washaitwa .Ingawa nilipategemea sana cause nilikuwa na qualification zote walizohitaji.
Shida sio kuwa success what I need to know ni kama kuna watu washaitwa .Ingawa nilipategemea sana cause nilikuwa na qualification zote walizohitaji.
Hajui huyo kazi wanapeana kimjomba mjombaUlikua na qualification zote sio mkuu?
Huijui nchi hii vzr dada.
Hajui huyo kazi wanapeana kimjomba mjomba
Mmh qualification zote........kazi siku hizi pata potea anaweza akapata hata yule ambae hakua na qualification zoteShida sio kuwa success what I need to know ni kama kuna watu washaitwa .Ingawa nilipategemea sana cause nilikuwa na qualification zote walizohitaji.
Watu wanapiga kazi saa hizi yeye anaulizia majibu yanatoka lini hajui bongoNgoja ajione hali halisi mkuu.