Kazi za AICC

Kazi za AICC

kwedizinga

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
9
Reaction score
0
Wakuu za jioni.

Naomba kufahamu kama kuna mwanajamvi yoyote mwenye info kuhusu kazi zilizotangazwa na AICC za Estate Officers.

Washaita watu for interview?
 
Back
Top Bottom