KAZI YOYOTE YA IT ITANIFAA

KAZI YOYOTE YA IT ITANIFAA

blind fighter

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
85
Reaction score
128
Wakuu, mnaendeleaje humu? Naamini Mungu anaendelea kuwapigania.

Kuhusiana na mada tajwa hapo juu, natafuta kazi katika sekta ya IT. Nina ujuzi katika Linux Server Administration, Database Administration, Computer Networking, na misingi ya Usalama wa Mfumo (System Security Basics).

Ikiwa kuna mtu yeyote anayeweza kunisaidia au kunipa mwongozo kuhusu hili, nitashukuru sana.

Asante sana! 🙏

Nipo Dar Es Salaam,
Mawasiliano 0620224372
 
wakuu post yangu haina maana kiasi gani hadi iangaliwe na kupitwa tu hivi bila comment hata moja? toka alasiri saa 10 hadi sasa hivi saa nne.
dah
 
Wakati unaendelea kusikilizia, endelea kuongeza ujuzi zaidi mtaalamu hasa kwenye hizi evolving technologies.
1. Big Data Analytics/ Data Analysis
2. Data Science
3. Artificial Intelligence - Modeling + IoT
4. Mobile Application Programming

Nakuhakikishia ukiweka CV ya hizo technologies 4 kuwa upo vizuri, upo kwenye top 3% ya watu wenye uhakika wa kupata ajira za IT kenye soko.
Vitu kama system administration, computer networking na basics of security ni obvious sana.

Good luck champ.
 
asante sana mkuu kwa ushauri uliotukuka. nina uelewa kiasi kuhusu Data Analysis and visualization (power tableaue, am currently using a free trial of desktop).
kuhusu programming, i have intermediate skills in some of the languages kama java na python(django frame work) ila sipo comitted sana na coding.

i have data science knowledge too,
 
Back
Top Bottom