Amekosea, ni 60mHiyo ni 60k ? Au 600k
Commission yake tu kwa mwezi unakuta hata laki 3 haifiki sasa hiyo laki 6 ya kukulipa ataitoa wapi 😃😃Mshahara ni laki sita au elfu sitini?
Yan asee wewe ni myonyaji kabisa hivi 60000 wewe unaweza kufanya kazi ya hivyo na unakuja hapa kuleta upuuzi wako hapa Yani Ina maana unamlipa kwa siku 2000 pesa ya kula wali maharage hakuna chai hakuna nauli hajala mchana hajafua nguo Yan mijitu sijui mkoje muweke mdogo wako hauna ndio Mana hua mnaibiwa kwa upuuzi wenu huo halafu unakuja hapa eti awe na uzoefu kwa mshahara gani si Bora ajiuzie mama ntilie anauhakika wa kunywa chai na chakula Cha mchana na posho ya 5000 kwa sikuNatafuta msichana wa kazi ya ofisi ya uwakala wa tgo, halopesa, airtel money. Mshahara ni sh 60000/= awe na uzoefu wa kufanya kaz au mwepes kuelewa kwa muda mfupi. Umri usiwe zaidi ya 23. Eneo la biashara ni morogoro mjini.
Elimu angalau form four. Aliye tayar anichek kwa email au Dm
e.gladness19@gmail.com
Asante
Amesema chakula na malazi atagharamiwaYan asee wewe ni myonyaji kabisa hivi 60000 wewe unaweza kufanya kazi ya hivyo na unakuja hapa kuleta upuuzi wako hapa Yani Ina maana unamlipa kwa siku 2000 pesa ya kula wali maharage hakuna chai hakuna nauli hajala mchana hajafua nguo Yan mijitu sijui mkoje muweke mdogo wako hauna ndio Mana hua mnaibiwa kwa upuuzi wenu huo halafu unakuja hapa eti awe na uzoefu kwa mshahara gani si Bora ajiuzie mama ntilie anauhakika wa kunywa chai na chakula Cha mchana na posho ya 5000 kwa siku
acha makasiriko,fungua biashara yako muajiri mtu umlipe laki 6,umeambiwa chakula na malazi ni juu ya huyo bossYan asee wewe ni myonyaji kabisa hivi 60000 wewe unaweza kufanya kazi ya hivyo na unakuja hapa kuleta upuuzi wako hapa Yani Ina maana unamlipa kwa siku 2000 pesa ya kula wali maharage hakuna chai hakuna nauli hajala mchana hajafua nguo Yan mijitu sijui mkoje muweke mdogo wako hauna ndio Mana hua mnaibiwa kwa upuuzi wenu huo halafu unakuja hapa eti awe na uzoefu kwa mshahara gani si Bora ajiuzie mama ntilie anauhakika wa kunywa chai na chakula Cha mchana na posho ya 5000 kwa siku
Heshimu wazo na kazi ya mtu. Kabla hunacomment its better ukasoma na kuelewa. Rubbish!!!Yan asee wewe ni myonyaji kabisa hivi 60000 wewe unaweza kufanya kazi ya hivyo na unakuja hapa kuleta upuuzi wako hapa Yani Ina maana unamlipa kwa siku 2000 pesa ya kula wali maharage hakuna chai hakuna nauli hajala mchana hajafua nguo Yan mijitu sijui mkoje muweke mdogo wako hauna ndio Mana hua mnaibiwa kwa upuuzi wenu huo halafu unakuja hapa eti awe na uzoefu kwa mshahara gani si Bora ajiuzie mama ntilie anauhakika wa kunywa chai na chakula Cha mchana na posho ya 5000 kwa siku
Sikujua kama hata Jf kuna wapum....na wajinga wasiojua hata kusoma na kuelewaYan asee wewe ni myonyaji kabisa hivi 60000 wewe unaweza kufanya kazi ya hivyo na unakuja hapa kuleta upuuzi wako hapa Yani Ina maana unamlipa kwa siku 2000 pesa ya kula wali maharage hakuna chai hakuna nauli hajala mchana hajafua nguo Yan mijitu sijui mkoje muweke mdogo wako hauna ndio Mana hua mnaibiwa kwa upuuzi wenu huo halafu unakuja hapa eti awe na uzoefu kwa mshahara gani si Bora ajiuzie mama ntilie anauhakika wa kunywa chai na chakula Cha mchana na posho ya 5000 kwa siku
Bila shaka hujawahi ajiri na hujawahi fanya biashara,Yan asee wewe ni myonyaji kabisa hivi 60000 wewe unaweza kufanya kazi ya hivyo na unakuja hapa kuleta upuuzi wako hapa Yani Ina maana unamlipa kwa siku 2000 pesa ya kula wali maharage hakuna chai hakuna nauli hajala mchana hajafua nguo Yan mijitu sijui mkoje muweke mdogo wako hauna ndio Mana hua mnaibiwa kwa upuuzi wenu huo halafu unakuja hapa eti awe na uzoefu kwa mshahara gani si Bora ajiuzie mama ntilie anauhakika wa kunywa chai na chakula Cha mchana na posho ya 5000 kwa siku
Yan asee wewe ni myonyaji kabisa hivi 60000 wewe unaweza kufanya kazi ya hivyo na unakuja hapa kuleta upuuzi wako hapa Yani Ina maana unamlipa kwa siku 2000 pesa ya kula wali maharage hakuna chai hakuna nauli hajala mchana hajafua nguo Yan mijitu sijui mkoje muweke mdogo wako hauna ndio Mana hua mnaibiwa kwa upuuzi wenu huo halafu unakuja hapa eti awe na uzoefu kwa mshahara gani si Bora ajiuzie mama ntilie anauhakika wa kunywa chai na chakula Cha mchana na posho ya 5000 kwa siku