sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,497
- 2,916
Naomba nijaribu kueleza matumiz ya vpn kwa uchache sana
Vpn haipo kwa ajili ya kuleta mtandao mahala ambapo hakuna mitandao kwa maana ya internet
Vpn ni mahususi kwa ajili kuingia kwenye website ambazo zimekuwa restricted ku access
Mfano jf imefungiwa ili usipate wala kuona maudhui yake vpn itakuwezesha kuyaona kama utakuwa nayo, vpn inahitaji internet ili iwez3 kufanya majukumu yake,
Kama mtandao utakuwa umezimwa kabisa vpn kufanya kazi sahau otherwise uwe na source nyingine ya internet kama kutumia satellite network mfano wenye bidhaa za magendo starlink wao i akuwa haiwahusu kabisa
Watapata mtandao kama kawaida
Mengine ni kwa ajili ya usalama wa mtumiaji wa mtandao ukiwa nayo itaficha mahala ulipo wakati unatumia kwa kuchengesha ip adrees ya device yako