Kazi ya utangazaji wa radio

Kazi ya utangazaji wa radio

Shin Lim

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
8,441
Reaction score
15,675
Habari za muda huu,natafuta kazi ya utangazaji wa redio.
Naweza kufanya kipindi chochote, narudia; naweza kufanya kipindi chochote (sibahatishi). Pamoja na elimu ndogo niliyonayo lakini pia nina kipaji. Naamini elimu ni muhimu lakini kuna watu waliofanya vizuri katika fani hii ingawa hawakuwa na elimu kubwa mf. Harry King wa CNN.

Kwa mawasiliano: 0785 15 76 26, ahsante.
 
Ngoja nimtafute Ephraim Kibonde anaweza kukusaidia
 
Mkuu kasome kwanza,ukiwa na elimu ya kutosha ndiyo utafute kazi bila kubahatisha,bosi gani ataanza kusikiliza kwamba

sina elimu ila ninajua tu.

Vinginevyo tafuta radio ndogo ndogo ujitolee kisha kipaji kikionekana utapata shavu lakini kuajiliwa kwa elimu ndogo japo

hujaisema kwamba ni elimu gani,inamaana hata huo utangazaji hujasomea ila kipaji tu?..

Kama hata hiyo taaluma hujasomea mkuu msubiri tu Fidel80 akuunganishe na Kibonde labda atakusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom