Unajua kupika vitafunwa pekee? Upo dar sehem ganiHabar samahni kwa usumbufu natafuta kazi ya kupika vitafunwa na chakula kwa ujumla naishi dar naombeni msaada wenu
NitafuteMdada
Ungekuwa mwanaume ningekupa mchongo wa kwendaNitafute
mkuu tupeane michongo hiyoUngekuwa mwanaume ningekupa mchongo wa kwenda
Naimani utampatia MwongozoNitafute
Umeshapata kazi tayali au bado?Habari,
Natafuta kazi ya kupika vitafunwa na chakula kwa ujumla
Naishi Dar, naombeni msaada wenu.