Kazi ya upishi

Kazi ya upishi

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Mpishi wa shule anahitajika. Kazi ni kuwapikia wanafunzi. Mshahara ni Tsh.120,000/=

Shule ipo Ifakara Morogoro.
Mawasiliano: 0621538913
 
Duh kweli maisha magumu mshahara kama wa house girl mtu aungue na moto mwezi mzima halafu @4000 kwa siku.
Unataka watoto wa watu wale chakula kibichi?
 
Duh kweli maisha magumu mshahara kama wa house girl mtu aungue na moto mwezi mzima halafu @4000 kwa siku.
Unataka watoto wa watu wale chakula kibichi.?
Uko sawa. Nimeandika Bei ili Kila anayehitaji achague kusuka au kunyoa. Hakuna ulazima hapa. Asante.
 
Kuna tatizo la ajira ila this is too much imagine kupika chakula cha watu 300+ kwa malipo ya hiyo hela, ongezeni maslahi kidogo tafadhali.
 
Mkuu wapishi tunakua wengi inamaana tunashirikiana au ndiyo peke yako mpishi mmoja?
Mpishi wa shule anahitajika. Kazi ni kuwapikia wanafunzi. Mshahara ni Tsh.120,000/=

Shule ipo Ifakara Morogoro.
Mawasiliano: 0621538913
 
Mshahara mkubwa kabisa huo kwa hiyo kazi. Sijui wanaolalamika walitaka mpishi alipwe kiasi gani
 
Nyambafu!
Vitu vingine vinakera sana!!

Yaani mtu umekaa busy kuhoji "mshahara". Tena negatively....!!

Hivi kama umeona uwezi kufit, kwenye kiatu hiko cha mshahara....si upite kimya!! Au ukipita kimya, utapungua uzito..?!!

Na hii yote ni kipimo cha udhaifu wa kufikiria, unaokupelekea unaona kiasi hiko cha mshahara ni kidogo. Unashindwa kabisa kutambua kwamba, hata kutoka tu hapo nje.....itakulazimu kunyanyua mguu na kupiga hatua!!

Ila hilo moja, pili unashau kwamba tunatofautiana kwenye mambo mengi tu. Honest jinsi ulivyo wewe, sio jinsi nilivyo mimi, wala yule.....in short tupo so differ!
Sasa ya nini, tuanze kusemeana....if umeona haikufahi, put it pembeni, yupo mtu itakayomfaha.

Embu jamani imefika time, watanzania wenzangu tubadilike.....hizi tabia za kipuuzi puuzi, ndizo always zinatufanya tupige mark time kwenye hali zile zile, no development at all!!

Embu tuacheni hizi mambo jamani....sio vizuri.
 
Kweli kutokana na vigezo vyao nguvu ya kusonga ugari, sehemu nyingine mshahara juu na vigezo vingi, cheti cha secondary, cheti cha upishi na uzoefu juu.
 
Nyambafu!
Vitu vingine vinakera sana!!

Yaani mtu umekaa busy kuhoji "mshahara". Tena negatively....!!

Hivi kama umeona uwezi kufit, kwenye kiatu hiko cha mshahara....si upite kimya!! Au ukipita kimya, utapungua uzito..?!!

Na hii yote ni kipimo cha udhaifu wa kufikiria, unaokupelekea unaona kiasi hiko cha mshahara ni kidogo. Unashindwa kabisa kutambua kwamba, hata kutoka tu hapo nje.....itakulazimu kunyanyua mguu na kupiga hatua!!

Ila hilo moja, pili unashau kwamba tunatofautiana kwenye mambo mengi tu. Honest jinsi ulivyo wewe, sio jinsi nilivyo mimi, wala yule.....in short tupo so differ!
Sasa ya nini, tuanze kusemeana....if umeona haikufahi, put it pembeni, yupo mtu itakayomfaha.

Embu jamani imefika time, watanzania wenzangu tubadilike.....hizi tabia za kipuuzi puuzi, ndizo always zinatufanya tupige mark time kwenye hali zile zile, no development at all!!

Embu tuacheni hizi mambo jamani....sio vizuri.
ni kweli broo mimi nilichekwa na mdogo wangu niliemtaftia kazi mimi kwa mshahara wa laki moja kulinda nyumba na kufanya usafi tegeta wazo mwaka mmoja uliopita
unapokua na pakuanzia inakusaidia kupata michongo mingine unaweza kuanzakupika kumbe mbele proffesional yako ni ualimu ukajakiziba chanel ya taaluma yako
wengi wetu tunapenda mambo makubwa mbuyu ulianza kama mchicha
 
Exactly,
Maisha ni hatua, bila moja uwezi kupata mbili. Hivyo kama upo upo tu mtaani, then unapata kusikia au kuona fursa hata ya kuingiza tsh 10k....it's better ukaichangamkia. Maana kupitia hiyo kazi, may be you can see muelekeo mwingine wa maisha yako.

"Mtembea bure, sio sawa na mkaa bure"
ni kweli broo mimi nilichekwa na mdogo wangu niliemtaftia kazi mimi kwa mshahara wa laki moja kulinda nyumba na kufanya usafi tegeta wazo mwaka mmoja uliopita
unapokua na pakuanzia inakusaidia kupata michongo mingine unaweza kuanzakupika kumbe mbele proffesional yako ni ualimu ukajakiziba chanel ya taaluma yako
wengi wetu tunapenda mambo makubwa mbuyu ulianza kama mchicha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom