M MAKINYA Senior Member Joined Dec 20, 2012 Posts 139 Reaction score 54 Mar 13, 2013 #1 Jamaa alienda kuomba kazi ya ulinzi akaambiwa awe amemaliza kidato cha 4 na awe anajua kiingereza Naye akawauliza kwani wanaokuja kuiba ni wasomi au wazungu?
Jamaa alienda kuomba kazi ya ulinzi akaambiwa awe amemaliza kidato cha 4 na awe anajua kiingereza Naye akawauliza kwani wanaokuja kuiba ni wasomi au wazungu?