Pierre2017
Member
- Apr 16, 2019
- 48
- 28
Habari zenu ndungu zangau!?me nina elimu ya kidato cha nne,nimekua natafuta profesional itakayonilipa na kubadilisha maisha yangu lakini ambayo itanisaidia kupata ajira bila usumbufu sanaaa,nimeona nafasi nyingi zinatangazwa za udereva hasa serikalini na mashirika binafsi km tanesco,tra,tpa na kwingine nimevutiwa na kazi hyo ya udereva lakn sina uhakika kma ni chaguo sahihi sana,ninajua kuendesha gari kawaida lkn sio compitent driver nifanyeje!?Nina lesen mwanzo nilisoma kuoperate mitambo ya barabaran na kuchimba madini lakin ajira imekua ngumu,..Nataka niswitch kwenye udereva,vigezo gani hasa vinatakiwa na chuo gan nikasome na kwa course ipi maana naskia kuna driving course mbali mbali!?vp kuhusu ajira na mishahara italipa kweli!??naombeni maon yenu ndugu zangu