Kazi ya Translation

Kazi ya Translation

palsa

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
1,345
Reaction score
1,713
Naufufua huu uzi! Nahitaji watu 7 kwa ajili ya kazi ya kutafsiri kutoka kiswahili kwenda kingereza. Naomba unitumie email yako kwa sms hapa. Nitakuemail maelezo mengine! mwisho wa kinitumia PM ni kesho saa sita mchana. Tafadhali uwe na uzoefu na kazi hii.
 
Mimi mwalimu,page 1 kwa 3000 ni ndooogo saaana.Articles maneno 2000 ni 20$.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Za leo wanandugu! natafuta watu wawili wa kufanya translation, kutoka kingereza kwenda kiswahili, (sio kingereza kigumu). malipo ni 3000 kwa page. Naomba ujue kuandika kiswahili fasaha na nitakutumia page moja ili kuona uwezo wako kwanza.
Karibuni PM
Dada naomba hii kazi, nimemaliza chuo sina kazi,,am a teacher by professional ( English & kiswahili)
Contact me- 0766464878

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za leo wanandugu! natafuta watu wawili wa kufanya translation, kutoka kingereza kwenda kiswahili, (sio kingereza kigumu). malipo ni 3000 kwa page. Naomba ujue kuandika kiswahili fasaha na nitakutumia page moja ili kuona uwezo wako kwanza.
Karibuni PM
Nb: Kwa ambao nitawapata tutaendelea kufanya kazi pamoja, tuna kazi za transcription pia
Mimi ni consultant by professional na nimekuwa nikifanya hizo kazi; naomba unipe hiyo kazi my phone is 0767028628
 
Naufufua huu uzi! Nahitaji watu 7 kwa ajili ya kazi ya kutafsiri kutoka kiswahili kwenda kingereza. Naomba unitumie email yako kwa sms hapa. Nitakuemail maelezo mengine! mwisho wa kinitumia PM ni kesho saa sita mchana. Tafdhali uwe na uzoefu na kazi hii.
 
Vp ulipata wadau?
 
Back
Top Bottom