emmy mlyuka
Member
- Oct 11, 2018
- 20
- 22
Ajira ya supermarket yupo kijana anahitaji kazi ana uzoefu wa kazi za supermarket asanteni mwenye duka au mi n supermarket na anahitaji mfanya kaz yopo ni msichana
Shida ni uaminifu tu ningekuchukua
Asante sana lkn huyu anahitaj wenye ujuzi wa kupika