Prof_rutta22
Member
- Aug 29, 2022
- 49
- 27
Una Idea nzuri kutumia muda wa ziada kujiingizia kipato.Habari za mda huu waungwana mimi ni mkufunzi wa kujitolea katika moja ya chuo hapa mjini kwa mda wa mchana hivyo natafuta kazi ya kuniingizia kipato mda wa usiku ili kubalance maslah madogo ninayoyapata kwa sasa
Naomba ushirikiano wenu pale utakapopata au kuwa na kazi yoyote inayozingatia utu na maslah
Natanguliza shukran za dhati kwenu
mawasiliano: 0624576521
Sana mkuuDah,kweli mambo ni moto
Taaluma yangu ni health informatics( IT+ Health )Una Idea nzuri kutumia muda wa ziada kujiingizia kipato.
Mungu atakujalia.
We ni Mtaaluma wa nini?
Pambana mkuu utapataTaaluma yangu ni health informatics( IT+ Health )
Asante mkuuMkufunzi unaomba mchongo halafu hata husemi una taaluma na skills gani? Watu watakuona haupo serious.
Weka CV hapa.
AsanteKwanini muda wa usiku usiutumie kulala?
All the best.Habari za mda huu waungwana mimi ni mkufunzi wa kujitolea katika moja ya chuo hapa mjini kwa mda wa mchana hivyo natafuta kazi ya kuniingizia kipato mda wa usiku ili kubalance maslah madogo ninayoyapata kwa sasa
Naomba ushirikiano wenu pale utakapopata au kuwa na kazi yoyote inayozingatia utu na maslah
Natanguliza shukran za dhati kwenu
mawasiliano: 0624576521
AsanteAll the best.
Asante kwa ushauriBora uamue uache kimoja ubaki na kimoja yan acha iyo yakujitolea utafute kazi moja kwa moja ila kusema ufanye zote kwa pamoja hutoweza