Kasoma education ina maana kasomea ualimu nini sasa usichoelewa hapa.Nimesoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho sijaona ulipoandika umesomea nini zaidi ya kusema umesoma education na gpa yako baada ya hapo ukaenda kujisifia umesoma education sasa najiuliza sipati picha
Ukiwa na kichwa huwezi elewa kuna ualimu mwingi mkuu, ualimu upi kasomea yeye ukisema umesomea elimu ina maana nyingi ualimu wa sayansi au arts sasa ameleta tangazo asaidiwe lazima awe spefic elimu ni pana sanaKasoma education Ina maana kasomea ualimu nini sasa usichoelewa hapa
Asante ndugu ila Forex hapana nishaijaribu, nilisoma hadi vitabu na kumpata mentor ila mambo yakawa ndivo sivyo.Jifunze forex kama una moyo wa chuma lakini mwisho ukishaimaster vizuri utapata wanafunzi wa online huku na wewe unapiga dola taratibu
Sijajisifia ila nilikuwa naeleza qualifications mbalimbali nilizonazo, nimesomea ualimu na kuchukua kozi mbalimbali za computer.Nimesoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho sijaona ulipoandika umesomea nini zaidi ya kusema umesoma education na gpa yako baada ya hapo ukaenda kujisifia umesoma education sasa najiuliza sipati picha
Why not physically?
Yaweza ikawa ya kufundisha kupitia online au virtual assistant (secretary) au mwandishi wa contents mbalimbali kwenye blogs, web au kazi yoyote ya kampuni au shirika fulani nikawa nawafanyia kazi through online.Mbona hujadadafua unataka nini? Unataka kazi ya kufundisha shule? Au online business? Hujaeleweka kipi ni kipi
Kwa nini usiolewe Dada mwalimu huoni umri unaenda sana
Yaani badala ya kuwaza kukesha na mumeo unawaza kukesha na laptop.
Ukiwa na kichwa huwezi elewa kuna ualimu mwingi mkuu ualimu upi kasomea yeye ukisema umesomea elimu ina mana nyingi ualimu wa sayansi au arts sasa ameleta tangazo asaidiwe lazima awe spefic elimu ni pana sana
[/Q
mcheki GLOBAL CITIZEN atakupa hints za kazi online
Ukiwa una uhitaji wa Mwalimu wa English language, History kuanzia msingi mpaka vyuo nafundisha, Ms Word na Excel.Ualimu wako ni wa masomo gani Kalamu nyekundu?
Nilitegemea na hayo, Asante.Humu hakuna msaada dada zaidi ya kejeli unapoteza muda