Anaweza kujifungia ndani na dude la miraba50.
Hata hofu hanaaa
Huyu jamaa karaha zote za dunia anakumbana nazo hapo
Huyo tayari ni RIP! confirmedHuyu jamaa karaha zote za dunia anakumbana nazo hapo
Nimekulewa mkuu ikiwa hivyo ndivyo basi kuna wanaume majasiri kuliko hata simba
Yupo chumvini
Hapa mwanaume pia ni jasiri