GE2025 Kazi ya miaka 4 ya Rais Samia ni sawa na miaka 40

GE2025 Kazi ya miaka 4 ya Rais Samia ni sawa na miaka 40

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Wakizungumza leo Septemba 25, 2025 wakati wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan zilizofanyika mjini Lindi, baadhi ya wanawake wakazi wa Mkoa huo wamesema maendeleo yaliyopatikana katik kipindi cha Miaka minne (04) ya uongozi wa Dkt. Samia yangeweza kupatikana kwa miaka 40 ijayo.

Wameongeza kuwa, Tanzania ni Taifa la mfano duniani na ni kisima cha amani. Hivyo, vijana wanapaswa kujihadhari na propaganda zinazoenezwa mtandaoni zenye viashiria vya kuvuruga amani na utulivu uliopo.​
 
Baada ya miaka mitano hii familia itakua na pesa kuliko Mo au bakhresa.

Baada ya miezi minne tu kumrithi magu dogo kaenda kununua vifaa vya ujenzi hardware apandishe kibanda cha b2.4
 

Attachments

  • SaveVid.Net_AQPV7OoxDYB6gqa4IjUS0QN-aMlKyaVKkxXiVaqqIedIuv9wJpB1qMBgSFqFgI4pJfxCygrzurmrzwX22P...mp4
    1.9 MB
Kuua, kuteka, kupoteza, kutesa, kuwakumbatia wahuni, kufumbia macho ufisadi, nk. Kwa kweli haijawahi kutokea toka kuumbwa kwa huu ulimwengu.
 
Wakizungumza jana wakati wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan zilizofanyika mjini Lindi, baadhi ya wanawake wakazi wa Mkoa huo wamesema maendeleo yaliyopatikana katika kipindi cha Miaka minne (04) ya uongozi wa Dkt. Samia yangeweza kupatikana kwa miaka 40 ijayo.

Wameongeza kuwa, Tanzania ni Taifa la mfano duniani na ni kisima cha amani. Hivyo, vijana wanapaswa kujihadhari na propaganda zinazoenezwa mtandaoni zenye viashiria vya kuvuruga amani na utulivu uliopo.
 
Samia kafanya nini hata njia nne za Kibaha-Chalinze zimemshinda. Na nyie mnaojifanya kumsujudia sijuhi kama mnajua mnahangaikia Kikwete maana mnufaika wa Samia ni Kikwete
 
Back
Top Bottom