Junior Mulenzi
Member
- Mar 10, 2015
- 17
- 0
Habari za asubuhi, mchana, jioni,
Natangaliza heshima kwenu na administration nzima ya JF,
Mimi ni askari mgambo nilihitmu mafunzo yangu ya awali mwaka 2013 wilayani Missenyi, mkoani Kagera. Kutokana na tatizo la ajira wilayani na vituo vya police kua finyu niliajiriwa kwenye kampun ya ulinzi hapa Bukoba mjini lakini ukweli ni kwamba haya makampuni wanatuibia sana.
Mkataba na mteja ni 150,000 lakini mi nalipwa 80,000 nazo kwa usumbufu na kucheleweshwa! Tarehe 20 leo bado nadai mshahara wa mwezi wa 4! Nina mpango wa kuacha kazi na kurudi kijijini nikalime tu, siwezi kuwadharau nisiowajua. Naomba panapo nafasi au dili flani nisaidiwe. Nami nitashukuru.