Kazi ya KUTUMBUA majipu ni ngumu, niombeeni

Ni kweli inatakiwa kumuombea Rais katika Kazi ya kutumbua kwa sababu mafisadi waliozoea mteremko.sasa kukamliwa majipu yanauma wanakuwa wanakukuruka.
 
hela za walipa kodi ndio zinatumika kulipia live bunge, kwa hiyo kama wabunge ni wawakilishi wa wananchi walitakiwa kulipigia kura jambo hilo.
 
Hata kama wangelipigia kura unategemea nn kingetokea, au umesahau ile kauli ya wanafiki waseme ndio na wasio wanafiki waseme siyo!!!
 
kazi imeshamshinda mpaka yeye na chama chake wameamua kukataza TBC kurusha bunge live wakitajifanya wanatumbua majipu gizani.
Tuliweza kupitia uchaguzi kuwaondoa wabunge wanaosinzia Bungeni kwa kuwaona LIVE, Nape na bosi wake hawaoni kwa kitendo hiki wanalea uzembe kwa kilemba cha kupunguza gharama. Wamesahau gharama za kufuga wasinziaji na watoro bungeni ni kubwa kuliko hizo pesa wanazozingisia kuokoa.
Mwisho serikali inayofuata na kujali UTAWALA BORA ni lazima ihakikishe inaweka na kutetea transparence (uwazi)katika kipindi chake chote madarakani. Kuondoa LIVE ni kupunguza uwazi na ni kinyume cha UTAWALA BORA. hILI NI WAZO LA NAPE sidhani kama ni la boss wake, kwa kilemba kile cha chama sijui muenezi sasa anazuia uenezi , hii ipo kichama zaidi kwa mtazamo wangu. Mafindufindu ya kichama sasa wizarani, DO!
 
Nape ametusaidia kujua kuwa Majaliwa na mwenzake Pombe akili zao ni kama za Nape kabisa.
 
Waheshimiwa JKM na Majaliwa mwendo mdundo tu! Wapo nyang'anyang'a, ndendembe kama kifo cha mende. Kamueni majipu na vipele chungu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom