tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,196
*Wafanyakazi wameshapatikana*
Wakuu habari za weekend,
Rafiki yangu anahitaji watu wawili kwa ajili ya kazi ya upishi kwenye mgahawa.
jinsia yoyote
umri 18+ ila 25+ itakuwa bora zaidi anadai mabinti wanasumbua
elimu- haina umuhimu sana ili mradi mtu anaweza kufanya kazi
awe msafi, hii ni kwa ajili ya afya yake na ya wateja
muda wa kazi ni alfajiri mpaka saa nne usiku
eneo la kazi ni kigamboni dar es salaam (kwa urassa/magenge ya juu)
awe mvumilivu (ni eneo la hostel so majaribu ni mengi)
ajue kupika vyakula vya kawaida tu vya kila siku nyumbani
awe mwaminifu na anayeweza kujisimamia (si vyema kuambiwa kila kitu)
malipo ni tshs 5000 kwa siku
atapata chakula na maji hapohapo bureeee