Na waje kwa kweliNgoja waje
Anafaa ila awe anajituma sanaWakike mkuu hafai?
Na waje kwa kweli
Niliwachukua wanyumbani na kuishi nao na ugali na wapa na nawalipa lakini mkuu kijiwe changu mimi kipo karibu na taifa ni pale ttc club lakini mpaka navyoandika hapa WAMELALA wako wawili alafu leo mechi ya simba kwa hiyo magari yanakuja mengi swala la kuwahi tushaalizungumza mpaka nimefikia kiwango cha mwisho,hawako siriazKwa kukusaidia kupata hao vijana ni bora ukaangalia huko mtaani kwako maana utakuwa unawajua vizuri. Ama tumia marafiki zako huenda kuna vijana wanawafaham wanao jituma vizuri. Ama angalia kwenye ukoo wako vijana ambao wapo tu wasaidie ipo siku watakushukuru. Kuliko kuja humu sidhani kama utafanikiwa humu. Ni mawazo tu
niliwachukua wanyumbani na kuishi nao na ugali na wapa na nawalipa lakini mkuu kijiwe changu mimi kipo karibu na taifa ni pale ttc club lakini mpaka navyoandika hapa WAMELALA wako wawili alafu leo mechi ya simba kwa hiyo magari yanakuja mengi swala la kuwahi tushaalizungumza mpaka nimefikia kiwango cha mwisho,hawako siriaz,
Natafuta mtu ambae hatujuani kazi kazi
Anafaa ila awe anajituma sana
Ipo temeke,chang'ombe karibia na ttc clubMshahara Sh Ngapi Au Makubaliano Yakoje?Pa Kuoshea Wapi?Nina Kijana Wangu Nataka Nimpe Ni Anajituma Na Mtu Mzuri Hana Makeke Katulia,kuna Program Nlitaka Kumuajiri Ila Itachelewa Na Nlishampa Moyo Wa Kibarua,ni Mvulana Am Sure Hatokuangusha
Mkuu hamna watu wanasumbua kama ndugu kwenyw kufanya kaziOooh kumbe mi nikaja ni Car wash mpya unatafuta vijana wa kazi. Kumbe ni umeisha ifungua kitambo basi kila lakheri.
nimekupm kakaHabari wakuu natafuta kijana anayejituma mdogo kwa ajili ya biashara ya kuosha magari
Awe anaishi dar
Anajituma na muaminifu sana
Kazi nitamfundisha
Siyo dhambi kua na vision.Tatizo la vijana ni kuwa ukimpa sehemu ya kujipatia ridhiki yeye anawazia utajiri....matokeo yake ni kukuibia......
Labda ameshapata huko tayar ameona awezeshe na mtu mmoja humu ni ktk kugawana baraka tu, sio mbayaKwa kukusaidia kupata hao vijana ni bora ukaangalia huko mtaani kwako maana utakuwa unawajua vizuri. Ama tumia marafiki zako huenda kuna vijana wanawafaham wanao jituma vizuri. Ama angalia kwenye ukoo wako vijana ambao wapo tu wasaidie ipo siku watakushukuru. Kuliko kuja humu sidhani kama utafanikiwa humu. Ni mawazo tu
Uwezekano wa huyu mtu kua na pesa karibu au kumzidi mshahara graduate ni mkubwa. Hao ndugu zako bado maisha hayajawagusa vizuri halafu inaonekana mbeleko za kuwabeba zipo nyingi.Ipo temeke,chang'ombe karibia na ttc club
Kuna njia ya kulipana
Ukiosha gari unapata chako hapo hapo.kama gari elf 7 unachukua elf mvili,kama elfu kumi unachukua elf 3 kama 20 unachukua elf 5,kuna pikipiki,bajaj na mazulia bei inategemeana,
Ana elimu gani?
Boss kwan hapo elim inahusikaje kwa mfano....?Ipo temeke,chang'ombe karibia na ttc club
Kuna njia ya kulipana
Ukiosha gari unapata chako hapo hapo.kama gari elf 7 unachukua elf mvili,kama elfu kumi unachukua elf 3 kama 20 unachukua elf 5,kuna pikipiki,bajaj na mazulia bei inategemeana,
Ana elimu gani?
yaani wewe umejaa busara mpaka umepitiliza,wewe ni version ya the boss,uongezewe mabusara yakoLabda ameshapata huko tayar ameona awezeshe na mtu mmoja humu ni ktk kugawana baraka tu, sio mbaya
Amina,yaani wewe umejaa busara mpaka umepitiliza,wewe ni version ya the boss,uongezewe mabusara yako