reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
Ongeza hizi taarifa muhimu kwa swala la kazihabarini wanajf.jamani binafsi sina amani kutokana na kutokuwa na kazi mda mrefu. hivyo niko tayari hata kununus kazi. kazi zimekuwa ngumu sn hasa kama hauna mtu unayemfahamu katika system. kwa anayeweza kunisaidia kwa hili nipo tayari kumpa pesa safi cha msingi nitimize ndoto yangu ya kuajiriwa. kwa aliye tayari naomba anipm
graduate b.com in materials management npo singida umri 28yrs maleOngeza hizi taarifa muhimu kwa swala la kazi
Kila laheri, usikate tamaa, ipo siku utafanikiwa kupata kazi
- Elimu
- Taaluma uliyonayo
- Umri
- Mahala ulipo - Na kama upotayari kufanya kazi hata vijijini
Hii inaonekna kwamba sio muaminifu na hautaki kumpa mungu nafasi yake.
Hiyo ni Rushwa tena ya kizamani sana.Na ninakuomba kwa faida yako ya humu duniani na mbele ya Mungu ondoa fikra hizo.
We unasema utampa mtu pesa nono kwanini usianze biashara ndogondogo kwa pesa hiyo.
Na ninani amekuambia walioajiriwa ndio wanamaisha mazuri.
Naimani mungu ndio aliekupa hicho kiasi cha pesa cha hongo,na tambua kwamba mungu amekujaalia hizo pesa kwa malengo maalum na hekma zake na sio kama ilivyo dhamira yako.
Amini mungu,weka juhudi utafanikiwa na usikimbilie katika njia za kumuudhi mungu kwa style hiyo.
Na inaonekana kwamba unaulimbukeni wa ajira za utumwa na sio kujituma mwenyewe.
Na Pia wewe mpaka hapo sio muaminifu,maana umeshindwa kumuamini mungu wako mwenyewe kwa kufanya juhudi na subira na kujituma binafsi,utashindwaje kumuibia hata muajiri wako au kusuka mpango wa Ujambazi kwa muajiri.
Kuwa makini,Life is how you make it.
graduate b.com in materials management npo singida umri 28yrs male
we mwanaume then unajiita regina?
we mwanaume then unajiita regina?
kiukweli kazi ni ngumu ila tunakosa ubunifu yakinifu kwa kazi... Usiwe na pupa wala papara... Umetafuta volunteerism ukakosa? Anzia hapo... Kisha tafuta watu kukujua na sio kutafuta uncle au mamdogo... Binafsi nina kazi mpk nakataaa.. Ila how did i make it there... Nilijichanganya mpk kusipofikirika.. Niliongea na watu kwa weledi... Jitume acha uvivu wa fikra bhaana... Hata kuuza pipi ni kazi.. Kufundisha tuition ni kazi... Kila kitu ni kazi.. Tatizo lenu.. Mnataka kazi za ofisini tu... Jitume kidogo kaka yangu.. Acha kulallama.. Haitasaidia
Hapo sasa mkuu Deo Corleone. Jamaa anajiita regina lol. Ushoga uanza hivi hivi.
bado haija justify wewe mwanaume ujiite regina. Why umejiita hivyo sasa?acha ushamba wangapi huku jukwaani wanatumia majina yao halisi. Usiwe mvivu wa kufikiri. Kweni anayejiita nyani ni nyani kweli.
Hiyo b com yako ulisoma chuo gani?
Hawakukufundisha SWOT analysis katika kuangalia fursa katika mazingira yanayokuzunguka..
Hiyo hela nono unayotaka kuihonga, ndio uitumie kama mtaji..
bado haija justify wewe mwanaume ujiite regina. Why umejiita hivyo sasa?