Kazi ya kujitolea katika jamii

Kazi ya kujitolea katika jamii

Joined
Oct 26, 2012
Posts
93
Reaction score
22
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo kikuu cha Dar-es-salaam, nachukua bachelor of education in psychology.Dhumuni la kuandika uzi huu kwa wana jf ni kuomba support yenu kama kuna mtu ana tahasisi yoyote inayoshughulika na mambo ya jamii kama vile

  1. kushauri watu juu ya HIV/AIDs
  2. kuelimisha jamii kuhusu mambo afya ya uzazi na lishe bora
  3. kutoa huduma ya ushauri nasaha katika nyanja ya elimu hasa katika shule za sekondari na
kufundisha katika vyuo vya ualimu

Niko tayari kufanya kazi kwa kujitolea kwa wakati huu niko chuo kwa sababu katika muhula huu wa masomo sijabanwa sana na masomo, hivyo basi napenda kutumia muda wangu kuitumikia jamii ya watanzani.

KWA YEYOTE ANAYETAKA TUFANYE KAZI PAMOJA TUNAWEZA KUWASILIANA KUPITIA

0714303414 au marandudaniel@yahoo.com
 
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo kikuu cha dar-es-salaam, nachukua bachelor of education in psychology.dhumuni la kuandika uzi huu kwa wana jf ni kuomba support yenu kama kuna mtu ana tahasisi yoyote inayoshughulika na mambo ya jamii kama vile

  1. kushauri watu juu ya hiv/aids
  2. kuelimisha jamii kuhusu mambo afya ya uzazi na lishe bora
  3. kutoa huduma ya ushauri nasaha katika nyanja ya elimu hasa katika shule za sekondari na
kufundisha katika vyuo vya ualimu

niko tayari kufanya kazi kwa kujitolea kwa wakati huu niko chuo kwa sababu katika muhula huu wa masomo sijabanwa sana na masomo, hivyo basi napenda kutumia muda wangu kuitumikia jamii ya watanzani.

Kwa yeyote anayetaka tufanye kazi pamoja tunaweza kuwasiliana kupitia

0714303414 au marandudaniel@yahoo.com

hongera sana kwa kuwa na moyo wa kujitolea, nakushauri ungeanza kujitolea katika shule za kata ambazo waalimu ni shida kubwa badala ya vyuo vya ualimu ambavyo vingi vina wakufunzi wa kutosha wa fani yako!
 
Ina maana hapo ulipo hakuna shule za kata au za msingi zile za kidumu ufagio ukawapa msaada japo kidogo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom