Kazi ya kujitolea AGROVET

OckyT

Member
Jun 7, 2017
52
39
Habari za humu ndani wakuu,
Mimi ni binti wa umri kadhaa, nilikuwa naomba kazi ya kujitolea kwa mwenye Agrovet.
Nina uzoefu katika ufugaji wa kuku, n'gombe na nguruwe pia pets animals.
Nimesomea general agriculture, secretarial courses, tour and tour guiding plus computer.
Naongea na kuandika fluent English, pamoja na French kidogo.
 
Karibu shamban huku tulime mkuu, achana na kuajiriwa

Post sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Pesa ngumu aisee! Mtu na taaluma zote hizo lakini hawezi kujiajiri!

brain is the beautiful part of the body.
 
Tatizo siyo kujiajiri tatizo ni challenges katika kujiajiri, nilikuwa nafuga broiler but tatizo lilikuja kwenye masoko mkuu.
Nilipata hasara sana maana mtaji ulikata. Nilikuwa nafugia Morogoro. Ndio maana now nataka nijitolee kwenye biashara ya agrovet mkuu
 
Pole mkuu, ila ukiogopa challenges hata huyo unaetaka akuajiri asingefanikiwa!

Kosa lako utakuwa umeanza hiyo biashara kwa kusikia hadithi za watu/ wale wanaotafuta pesa kwa kuwaambia watu wanawafundisha ujasiliamali kwa nadharia.

Hiyo general agriculture huwezi kuitumia kufanya kitu kweli mkuu?

Mkuu cjawah kujfunza kwa hao wanaofundisha ujasiriamali kwa sababu mm mwenyewe nimesomea general agriculture so huwa tunafundishwa mkuu.
Pia mkuu nmesoma computer kidogo kwa hiyo mm ni mtumiaji mzuri wa Google mkuu. Nikitaka kujua chochote huwa nagoogle cwez kwenda kwa hao wanaopga hela eti wanafundisha ujasiriamali.
 
Back
Top Bottom