KAZI YA KUENDESHA MITAMBO MIKUBWA

KAZI YA KUENDESHA MITAMBO MIKUBWA

Joined
Sep 6, 2024
Posts
54
Reaction score
161
Habari za wakuu, naomba mnisaidie mnipe,ushauri napenda sana kazi ya kuendesha mitambo mikubwa yaani scaveta,caterpillar
Nataka nijipange nikipata ada niende nikajifunze je nikimaliza mafunzo kuna uhakika wa kupata kazi, mishahara wanalipa tsh ngapi kwa mwenzi
Nipo hapa mdogo wenu,kaka
naomba ushauri wenu wakuu
 
Back
Top Bottom