Kazi ya kichwa

Kazi ya kichwa

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
This is exactly how we rise our children in Tanzania. Teaching them to use their heads to carry loads! Not for the rest of the World where heads are used to generate innovative ideas [emoji362] Watanzania bana eti kazi ya kichwa ni kubeba mizigo, na tunafundisha hivyo watoto wetu

By Dr. Vicent Mashinji
IMG_20180604_223522.jpg
 
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseed
 
msaada, na kazi ya hili gogo lang kiunoni ni ipi ?
 
Mama yangu nikikosea kufanya kitu alikuwa ananikaripia na kusema "acha upumbavu kazi ya kichwa sio kubeba masikio"[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hapo imetumika tafsida...

Jibu ni sahihi, kichwa kinachozungumziwa hapo ni tofauti...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom