Kazi ya hili jengo pale kivukoni

Kazi ya hili jengo pale kivukoni

Codeblack

Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
95
Reaction score
45
Wakuu kwa mwenye kujua kazi za hili jengo lililopo pale kivukoni naomba anijulishe tafadhali..
Dar_es_Salaam-2.jpg
 
Na ule mnara pale Oysterbay karibu na ubalozi wa china una kazi kama hiyo pia...???
 
Hiyo inaitwa control tower! Inatumika kuongozea meli zinazoingia na kutoka bandarini!
We ulidhani kuwa huo ndio ukumbi wa mikutano wa Magogoni inapofanyikia mikutano ya CCM? 😱
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kuna mwingine upo kwenye kisiwa kidogo baharini nasikia huwa unatitia ardhini pole pole sijui kama bado upo maana tokea miaka ya 90s huko sijui kama bado upo...
 
Hiyo inaitwa control tower! Inatumika kuongozea meli zinazoingia na kutoka bandarini!
We ulidhani kuwa huo ndio ukumbi wa mikutano wa Magogoni inapofanyikia mikutano ya CCM? 😱
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Jamani control tower na light house ni vitu viwili tofauti kabisa. Huo mnara ni Dar-es-salaam port control tower na kazi yake ni ni kudhibiti movements zote za meli hapa Dar. NI VTS yaani vessel traffic service
 
Back
Top Bottom